Swahili poultry Co. Ltd ni kampuni inayojishughulisha na ufugaji na uuzaji wa kuku hai, nyama ya kuku na samadi kwa wakulima wa mazao.
Tunatoa huduma kama vile kuchinja kuku, kusindika nyama kwa dhumuni la kuweza kutoa nyama bora zaidi ya kuku kwenye migahawa, shule, ofisi na familia kama wewe,
Lengo Kuu ikiwa ni kuzalisha kuku wa nyama walio bora zaidi ili kukidhi mahitaji ya wateja, na kuwa mtoa huduma bora zaidi wa kuku wa nyama nchini Tanzania.

Mawasiliano

Tel: +255 685 725 167 | +255 747 991 997
Email: swahilipoultry@gmail.com

Mhali Tulipo

Tunapatikana Toangoma, Kigamboni, Dar es Salaam mkabala na Usagara Petrol Station